Biashara ya lodge

Biashara ya lodge

Lomaa lolusa

Member
Joined
May 15, 2017
Posts
30
Reaction score
45
Nataka kunadilisha nyumba ya kupanga iliyopo Dodoma karibu na chuo Cha mipango kuwa lodge.. Ushauri wenu na namba nzuri ya kufanya
 
Bila shaka rate ya watu kufanya uzinifu kwa maeneo hayo siyo mbaya, kwahiyo nakushauri wewe lianzishe tu 🤒😎
 
KWa maeneo hayo kuwa na uhakika wa kupata wazinifu wa kutosha tu.
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]

Na uzuri jina litaitwa LODGE badala ya GUEST HOUSE
 
Back
Top Bottom