Well saidYutong ZK6120D (f12) yenye siti za kawaida za 2by2 bila kuwa na Ac,friji,usb ports,vioo vya tinted ni CIF$56000 pamoja na ushuru bila bima inafika $9200 ukitaka kuwekewa vitu vya ziada
Ac $8,000
siti za leather $4,000
ZF orijino gear box $5,600
Luxury interior $2,500
Usb charger $1,500
Tv tatu $500
Friji $500
Dispenser $500
vioo vya tinted $500
Buti za kufungua kwa rimoti $1,000.hapa kuna maelewewano wanaweza kukupunguzia bei alafu rangi na stika unachagua wewe mwenyewe bila kuongezeka gharama yoyote,kwenye malipo unatakiwa ulipie kwanza asilimia 30 baada ya miezi mitatu gari ikifika unalipia asilimia 70 iliyobaki alafu garantee yao ni mwaka mmoja na nusu au gari ikifikisha km 150,000 chochote kitakachotangulia kati ya hivyo viwili
Aksante sana mr.KakondeleYutong ZK6120D (f12) yenye siti za kawaida za 2by2 bila kuwa na Ac,friji,usb ports,vioo vya tinted ni CIF$56000 pamoja na ushuru bila bima inafika $9200 ukitaka kuwekewa vitu vya ziada
Ac $8,000
siti za leather $4,000
ZF orijino gear box $5,600
Luxury interior $2,500
Usb charger $1,500
Tv tatu $500
Friji $500
Dispenser $500
vioo vya tinted $500
Buti za kufungua kwa rimoti $1,000.hapa kuna maelewewano wanaweza kukupunguzia bei alafu rangi na stika unachagua wewe mwenyewe bila kuongezeka gharama yoyote,kwenye malipo unatakiwa ulipie kwanza asilimia 30 baada ya miezi mitatu gari ikifika unalipia asilimia 70 iliyobaki alafu garantee yao ni mwaka mmoja na nusu au gari ikifikisha km 150,000 chochote kitakachotangulia kati ya hivyo viwili
ukiwa na wasimamizi wanaojielewa bila kuwa na tamaa utafanya biashara vizuri yaani upate wale watakaokuwa na uchungu na gari yako wasiifanye kama money making machine vile vile gari za kichina zingatia service na upande spea kitu kikiharibika toa weka kipyaKuhusu changamoto za uendeshaji na kupata hasara za hapa na pale, binafsi naamini its a matter of market strategies, na ufahamu wa kifikra juu ya uendeshaji..
Hata mimi ningemshauri aingie gharama kidogo ya basi aende wilaya ya Nkasi akamuone bwana Sumry ampe uzoefu kabla ya kutupa hiyo pesa yake,labda kama anataka kufanya biashara na ushirikina anaweza kuendelea tu na mipango yake...Fikiria mara mbili mbili...kama bosi wa sumry kaiacha hio biashara na kuiita biashara kichaa , lazima ufikirie na wewe
Mwaka huu Abood kaagiza fleet ya gari 50 kutoka yutong zinakuja kwa awamuHata mimi ningemshauri aingie gharama kidogo ya basi aende wilaya ya Nkasi akamuone bwana Sumry ampe uzoefu kabla ya kutupa hiyo pesa yake,labda kama anataka kufanya biashara na ushirikina anaweza kuendelea tu na mipango yake...
Haaa haaa nimechekajesumry anataja milion 600 kama anataja laki 3 vile....
anakwambia bus haileti zaidi ya milion 10 kwa mwezi.. yaani hiyo milion 10 anavyoitaja ni kama anataja elfu 10 vile....
kilimo chake tu cha kibabe.... shamba halionekani mwisho wake
mambo ya fitna yalikuwa zamani sana skuizi hakuna hizo mamboKuna jamaa mmoja alijichanganya akaingiza gari zake kwenye ruti ya mwanza kigoma.. kilichomkuta hana hamu tena yaani.. alipigwa fitna za hizo balaa.. abiria aliokua anatoka nao stendi ndo haohao anaofika nao kigoma..ilibidi aende kwa mganga kuangalia ustaarabu,mtaalamu akamuambia hao jamaa wa kigoma hawawezekaniki kama vipi awaombe partnership tu hahaha..jamaa ilibidi akimbie ruti aseeh.
Jamaa nimemkubali. Kilimo safi sana muda mwingine
Habari wanajamii forum..
Naomba kufahamishwa..
Nataka kuagiza basi aina ya Youtong kutoka china,,,
Nataka kujua kuhusu
1..bei
2..ghalama za usafirishaji
3..kodi kwa hapa Tz
4.. Na ghalama nyingine kama zipo...
Lengo ni kuandaaHivi kampuni ya mabasi ya Ibra line ipogo tena?ilikuwa inafanya trips za arusha to darHabari wanajamii forum..
Naomba kufahamishwa..
Nataka kuagiza basi aina ya Youtong kutoka china,,,
Nataka kujua kuhusu
1..bei
2..ghalama za usafirishaji
3..kodi kwa hapa Tz
4.. Na ghalama nyingine kama zipo...
Lengo ni kuandaa cost analysis
Msaada wenu tafadhali