Mchoraji Cyper255
JF-Expert Member
- Nov 21, 2012
- 1,780
- 6,133
Kama Basi moja linakuingizia Million 10 kwa mwezi kama faida. Hii sio biashara kichaa.Fikiria mara mbili mbili...kama bosi wa sumry kaiacha hio biashara na kuiita biashara kichaa , lazima ufikirie na wewe
Anacholaumu Bw.Sumry ni usimamizi mbovu wa Wafanyakazi wake.
Na alipoulizwa kama hatoifanya tena akasema ataifanya kama mambo yakienda vizuri