Biashara ya mabasi yaendayo mikoani..

Fikiria mara mbili mbili...kama bosi wa sumry kaiacha hio biashara na kuiita biashara kichaa , lazima ufikirie na wewe
Kama Basi moja linakuingizia Million 10 kwa mwezi kama faida. Hii sio biashara kichaa.
Anacholaumu Bw.Sumry ni usimamizi mbovu wa Wafanyakazi wake.
Na alipoulizwa kama hatoifanya tena akasema ataifanya kama mambo yakienda vizuri
 
Hii biashara siyo kuwa hailipi mkuu, ishu ipo kwenye uongozi hasa madereva hawajali chombo chako, kitu kingine ni ushindani wa hii biashara

Kilimo kinalipa kama serikali wangekuwa wanawasaidia wakulima, unalima halafu mwisho linakuja katazo la kupiga marufuku kusafirisha mazao nje, hapo ndiyo wakulima wanapo kataa tamaa
 
Kama basi umenunua ml almost 400 na faida ikawa milioni kumi na ni kitu ambacho kinashuka kuliko kupanda kwa tz bado hakuna namna utapata usimamizi mzuri kirahisi hasa kwa dreva huwa wakihongwa kidogo tu na mshindani wako anaweka gari mtaroni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…