Wakuu Habari zenu,
Kuna ndugu yangu anataka kufanya biashara ya mabati na saruji, anataka kuwa agent kwa kuingia mikataba na viwanda husika hasa ALAF cha mabati na kiwanda cha saruji kilichopo Dar.
Kama kuna watu wanaofanyia viwandani, au tayari wanafanya biashara na hivyo viwanda au ni wazoefu kwa namna yoyote ile na hizo biashara, naomba wanipe pa kunzia na A B C's muhimu, hasa, kiasi cha mtaji anaotakiwa kuwekeza ili aweze kuwa agent.
Ahsanteni.