Biashara ya Maboga

Biashara ya Maboga

UHURU ONE

New Member
Joined
Feb 13, 2023
Posts
2
Reaction score
2
Habari wakuu nina mzigo wa maboga safi ya kienyeji takribani 500 yapo Mtwara Mjini nawakaribisha tufanye biashara tuwasiliane kwa namba 0693391566.
 
Nje ya mada Kwa anaejua Kwa Dar yanapopatikana matikiti maji aina ya sweet melon ya njano..tuwasiliane
 
Back
Top Bottom