Biashara ya madawa ya kulevya aina ya pombe inafaida sana kwa serikali.

Lycaon pictus

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2021
Posts
11,884
Reaction score
21,175
Miaka ya 1800 katikati mskaburu wa Afrika Kusini waliunda taifa lao la Orange Free State. Wakakaa na kupanga mikakati ya nchi. Wakaona moja ya njia ya uhakika kupata pesa ni kupitia kodi kwenye pombe. Pombe ni madawa ya kulevya yenye faida sana.
Basi wakapiga marufuku import ya pombe ili walishike soko na faida zake wao wenyewe. Taifa lao lilikuwa linaenda kasi sana. Bila waingereza kuwaingilia pengine leo lingekuwa moja ya mataifa tajiri duniani.
Rwanda wamezuia baadhi ya gongo kuingizwa nchini mwao. Japo ubora mbovu wa gongo hizo umechangia kupigwa marufuku lakini huu pia ni mchezo mzuri wa kiuchumi. Nawatakia kila la kheri Rwanda katika kukuza viwanda vyao vya gongo.
 
pombe kali(visungura) na ENEJI DRINKI,dawa za wadudu kwenye mboga mboga na matunda
hata haya majusi ya viwandani

ila zaidi VISUNGURA na ENEJI DRINKI

NI MWENDO WA KULA MASUMU TU. fainali majuto ni mjukuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…