Biashara ya Madini na Samaki kwanini lazima utumie Sangoma?

Akaenda mbali kwa kusema kuwa inahtaji makucha manne ya mnyama anayeitwa mhanga*> mnyama huyu kwa wasiomfahamu ni kwamba anasifika sana kwa kuchimba mahandaki marefu kwa muda mfupi sana na hachoki. So hii ndo ingredient kubwa nikiipata basi kila kitu kitakuwa sawa!
Kiukweli mimi nilimpuuza ila alinisistiza kuwa kama siamini basi niwaulize wadau wanaojihusisha na madini nyada za juu kusini hasa MBEYA.
Labda tu nichukue wasaa huu kuuliza kwa wadau kama mlishawahi kukutana na huyu mzee ambaye nisingependa kumtaja jina lake hapa ila yeye ni Msafwa kutokea ILOMBA MBEYA so kama mnamjua vzr mwageni sifa zake hapa kabla sijaanza kushiriki mambo haya maana kiukweli mm ktk utaftaji wangu i vowed not to involve superstitious believes!
 
Halafu njoo utupe mrejesho baada ya siku hizo 10.
 

huyo sangoma ni dini gani?
 
Huyo sangoma huwa anasali anatumia ungo kama ndiyo bac air tz wanashida naye
 
mkuu unaweza elezea zaidi?

kwa mazingira ya kiafrika, yan kutokana na kuwa na poor storage facilities pamoja na fishing equipments inaweza kuwa na hasara, je endapo mtu atakuwa na vifaa bora kabisa vya kisasa?

Yah! ukiwa na vifaa bora hasa vya kutunzia hapo utapiga pesa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…