Biashara ya Madini na Samaki kwanini lazima utumie Sangoma?

Biashara ya Madini na Samaki kwanini lazima utumie Sangoma?

Akaenda mbali kwa kusema kuwa inahtaji makucha manne ya mnyama anayeitwa mhanga*> mnyama huyu kwa wasiomfahamu ni kwamba anasifika sana kwa kuchimba mahandaki marefu kwa muda mfupi sana na hachoki. So hii ndo ingredient kubwa nikiipata basi kila kitu kitakuwa sawa!
Kiukweli mimi nilimpuuza ila alinisistiza kuwa kama siamini basi niwaulize wadau wanaojihusisha na madini nyada za juu kusini hasa MBEYA.
Labda tu nichukue wasaa huu kuuliza kwa wadau kama mlishawahi kukutana na huyu mzee ambaye nisingependa kumtaja jina lake hapa ila yeye ni Msafwa kutokea ILOMBA MBEYA so kama mnamjua vzr mwageni sifa zake hapa kabla sijaanza kushiriki mambo haya maana kiukweli mm ktk utaftaji wangu i vowed not to involve superstitious believes!
 
GEBA2013 usipuuze mkuu kuna uwezekano haya mambo yakawa kweli!
Jana nilikuwa napiga story na mzee wangu wa shamba kuhusu utaftaji wa mali+madini,tulianzia mbali kwa kumsimlia jinsi navyokomaa kibongobongo kwa ups&downs kibao ilhali wengine wanatekenya kidogo+ushirikina na makafara!
Basi mzee akaniangaliaaa kisha akanipa pole na kufunguka kuwa yeye keshasaidia sana watu hasa kwenye masuala machimbo ya madini, wakafanikiwa lakn hawakurudi kukamilisha mlolongo wa masharti yake ndiyo maana wengi wa wachimbaji huishia kufuja pesa bila kufanya maendeleo.
Akaendelea...
Kwa kuwa wewe umenipa hifadhi basi ntakufanyia maarifa, tafta sehemu yoyote unapohisi kuna madini then uje nikufanyie kitu na nakuahidi ndan ya siku10 lazima upate mali ila sharti ukishauza leta hela tuzizibiti.
Halafu njoo utupe mrejesho baada ya siku hizo 10.
 
Kuhusu madini asee ni kweli. Huwezi chimba madini ukayapata kama wewe si mshirikina.
Niliwahi ishi na hawa wachimba madini zamani kidogo. Wakitaka kujua sehemu gani kuna madini. Huwaga wanawafuata sangoma wale wanaotumia kitabu. Nishawahi lala na sangoma huyo nikamdadisi how it is working kujua sehemu hii ina madini au la.
Akaniambia very interesting story. Kuna kisomo anakisoma. Kisomo hicho ni haram kwani kinaelezea ukweli kwa kitu chochote kilichojificha. Yaani ni hivi. Kisomo hichi kilitumika vitani enzi hizo mtume anahama kutoka makka kwenda madina. baada ya vita kuwa vikali mtume alikwenda akajificha kwenye pango.Basi wale makafiri baada ya kumtafuta kwa muda mrefu bila mafanikio wakakusanya wachawi wote wakuu na kuanza kufanya kisomo hicho.
moja kwa moja kisomo kikawadirect mpaka kwenye pango hilo alojificha mtume. Ila tu wakapumbazwa na buibui alojenga kwenye uwazi wa pango lile na wakaona asineweza jificha pale. Lakini hiyo mistari haidanganyi asee. na ilishalaaniwa kusomwa.
So Sangoma yule akisoma hua anatoa direction sehemu gani madini yapo then uchimbaji huanza fasta then watu wana make money asee maisha haya!

huyo sangoma ni dini gani?
 
Huyo sangoma huwa anasali anatumia ungo kama ndiyo bac air tz wanashida naye
 
mkuu unaweza elezea zaidi?

kwa mazingira ya kiafrika, yan kutokana na kuwa na poor storage facilities pamoja na fishing equipments inaweza kuwa na hasara, je endapo mtu atakuwa na vifaa bora kabisa vya kisasa?

Yah! ukiwa na vifaa bora hasa vya kutunzia hapo utapiga pesa.
 
Back
Top Bottom