Shooter Again
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 5,603
- 9,263
Lazima ujue ulozi!Aisee naandika huu Uzi nikiwa nimekuja kumtembelea kaka yangu hospital hapa mbeya aisee hii biashara sio ya kuingilia kichwa kichwa huwezi amini nipo hospital maana broo kama akili zishaanza kuwehuka vitu anavyo9ngea havieleweki aisee haamini kama kafukia million 120
Yaani maneno anayoongea nashindwa kumuelewa yaani kama kadata hivi kumbe uchizi ni rahisi sana kuupataLazima ujue ulozi!
Duuh hatari sana mkuuNi biashara nzuri,
ila usikurupuke
Hatari sana mkuuBahati nasibu
Aisee hatariNikama gambling
Pole,, funguka zaidi kusaidia wengine. Kapotezaji 120M? Ukute hakuwa anajua anachofanyaAisee naandika huu Uzi nikiwa nimekuja kumtembelea kaka yangu hospital hapa mbeya aisee hii biashara sio ya kuingilia kichwa kichwa huwezi amini nipo hospital maana broo kama akili zishaanza kuwehuka vitu anavyo9ngea havieleweki aisee haamini kama kafukia million 120 nawashauri ndugu zangu wanajamii forum hii sio biashara ya kufanya kama inauchawi Fulani hivi
Ndio nimefika Leo nilipigiwa simu jana kwamba kaka yangu kalazwa sababu ya kupoteza pesa machimboni Kwa kuendesha harakati za uchimbaji Sasa bado sijapata abc sababu ndio nimefika Leo mda huuPole,, funguka zaidi kusaidia wengine. Kapotezaji 120M
Hamna mkuu sio Mimi ila wenge lazima niwe nalo sababu ni kaka yangu kabisaTulia uandike uzi vizuri ulionyooka utuambie ilikuwaje,,, ! Au na wewe umepata wenge ?
Ukiijulia ni nzuri mkuu!Kuna Jamaa yangu Moro anadeal na madini ya Luby Yuko vizuri kwa Sasa,hamshindi nchi hii hata ujumbe wa Trump kufungua misaada , yeye alikuwa huko USA!Aisee naandika huu Uzi nikiwa nimekuja kumtembelea kaka yangu hospital hapa mbeya aisee hii biashara sio ya kuingilia kichwa kichwa huwezi amini nipo hospital maana broo kama akili zishaanza kuwehuka vitu anavyo9ngea havieleweki aisee haamini kama kafukia million 120 nawashauri ndugu zangu wanajamii forum hii sio biashara ya kufanya kama inauchawi Fulani hivi
Duuh inatakiwa bahati na juhudi hapoUkiijulia ni nzuri mkuu!Kuna Jamaa yangu Moro anadeal na madini ya Luby Yuko vizuri kwa Sasa,hamshindi nchi hii hata ujumbe wa Trump kufungua misaada , yeye alikuwa huko USA!