Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Afu ukitaka mashine za kusaga nyaya za kopa au shilingi miambili ziwe unga ili uchanganye na dhahabu kidogo then ukamatishe na mercury ili ukawapige mandezi nieleze ila unawauzia mbichi unatoweka wakienda kuchoma wajionee maajabu
Dah aisee, kweli sio pakuingia kichwa kichwaAfu ukitaka mashine za kusaga nyaya za kopa au shilingi miambili ziwe unga ili uchanganye na dhahabu kidogo then ukamatishe na mercury ili ukawapige mandezi nieleze ila unawauzia mbichi unatoweka wakienda kuchoma wajionee maajabu
Unasemaaaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Vp kuhusu ruby huko arusha
Njia gani ya kuzitambua ili
Usiuziwe fake
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kama huna uzoefu kaa nayo hyo hela
KweliMfanyabiashara wa madini ni kati ya binadamu wenye roho ngumu zaidi duniani. Mtu wa madini huthamini zaidi atakachokipata kuliko alichonacho, kupoteza pesa kwake ni kawaida sana.
Kama unataka kuanza tafuta broker mzoefu unaemwamini mfanye kazi pamoja (ila kupigwa muhimu[emoji1]) paka pale utakapouelewa mchezo.. dhahabu ukienda kichwakichwa unaweza poteza 3M within a minute, utauziwa paka machuma ya bomba za maji.
Au nenda small scale ukahudumie wachimbaji paka siku watakapoupata mwamba wa madini (hapa risk ni kubwa zaidi ila ukibahatika pesa utazikimbia).
Nikweli usemayo,nyumbu mwerevuJamaa nimeanza kwa kutuma picha ya dhahabu ndo nichangie,ni biashara yenye faida kubwa na utapeli mwingi ndani yake,mtaji mkubwa wa iyo biashara ni kujua biashara yenyewe,mapigo ya kuiba na kuibiwa,kuitambua fake na original,na mengine mengi,karibu mkuuu
Jamaa nimeanza kwa kutuma picha ya dhahabu ndo nichangie,ni biashara yenye faida kubwa na utapeli mwingi ndani yake,mtaji mkubwa wa iyo biashara ni kujua biashara yenyewe,mapigo ya kuiba na kuibiwa,kuitambua fake na original,na mengine mengi,karibu mkuuu
Helo natumai wote ni wazima kabisa na wa afra iliyo bora kabisa
Jamani mm nataka nijue haswa biashara ya madini ya dhahabu ni shilingi ngapi kwa gram1? Na je ukiwa na 3million unaweza kuianza
.yes kota mnunua dhahabu...nina muida kias..8mths hv..!sema naambiwa nna bahati tu😅😅!usmart unahitajika
.yes kota mnunua dhahabu...nina muida kias..8mths hv..!sema naambiwa nna bahati tu[emoji28][emoji28]!usmart unahitajika
Acha ushamba kwani ukiuliza hapa tujifunze wote utapungukiwa nini, mbona mkuu alovera sijui carnivore kafunguka kama vyote bila hata kuulizwaNashindwa kukutumia message PM... sijui umeifunga... au naweza kukutumia namba yangu?
Mimi napenda kujifunza zaidi vifaa vipi hasa vinalipa, I mean vinakodishwa frequently, nadhani hapo ndo pananifaaMambo VP?tusaidiane kupanua fikra kidogo kuhusu mada husika.iko hivi kitu chakwanza kabla haujakifanya kitu kwako ambacho nikigeni,Fanya research kabla ya kuingia huko,ktk madini ndo ma'master wapo huko,sasa chakukusaidia hapo kwa pesa uliyo nayo inatosha kama ungekuwa na uzoefu ila kwakuwa hauna ingia kwanza field alafu baadae utaelewa nilikuwa namaanisha nini?.
DHAHABU.
Kwakuwa unataka kufanya Biashara ya dhahabu,nenda pori chagua mwenyenyewe iwe.kanda ya ziwa,kahama,kakola,nyuma ya Mgodi wa BULY (nimefanya kazi hapa as driller kitengo 'drill &blast)kuna namba 9 na 2 kuelekea kulia kuna nyangalata nakushoto kwako NYAKAGWE,(nb)wachimbaji wadogo wadogo hapo #9&2 wamepewa miez 6 wachimbe kisha waondoke,kwanini Mgodi utafunguliwa siyo mda.kuna sehem musoma nyuma ya Mgodi wa nyamongo na sehem tofauti tofauti pia.
KANDA YA KUSINI.
Kuna mbeya hapa ni CHUNYA ,kuanzia matundasi,kwenda makongolosi-matumbi,mkwajuni,bomba mbili,saza hadi chini kule karibu na ziwa kwakupitia saza Kwenye GETI la Mgodi wa Shanta unashuka chini.
MPANDA
Hapa maji moto,ukija standi yampanda unapenda hiace zinazo kwenda kesekese unashukia kijiji kinaitwa st. Maria,kwambele kunadaraja linaitwa Tanganyika.
KARASHA:
Hapa ukiwa na mtaji kidogo wa vifaa hivi huta juta 1,karasha complete, 2,tank la 3000lts,3,baruti,na unakodi Compressor kuja Ku drill per day almost 150k,4,una lipia dozer 150k lts Elfu 15,unakuwa na vijana 8 wewe walipe laki na nusu 150k kwa mwezi,ila chakula wape utaona kazi itakavyo pendeza ukitoa yale mawe kasage ktk karasha lako mambo ya wizi hutaona ktk maisha yako.
PLANT & ELUTION
Hapa ukisha kamatisha dhahabu yako ktk mercury utabakiwa na mchanga ule,sasa ule mchanga unaitwa makenikia/marudio,sasa hapa kwakuwa mtaji Mdogo unaweza ukachagua uuze hayo makenikia au upeleke plant &elution,ukisema uuze utapata hela kidogo 28,30,.....60mill ila anaye nunua anapeleka plant atapata kiasi gani?(jiulize),ila ukifanya process ukapeleka wewe kama wewe kuna gharama za plant ktk kukodi (mda)Madawa Yale ya kufanya kuyeyusha hadi kupata mzigo zina gharama zake,ila siyo za kutisha.
MWISHO:
Mmi siyo mwandishi mzuri hivyo basi kupitia hili utapata kitu na vitu ambavyo vitakusaidia wewe na kwaniaba ya wengine.nimekupa mwanga unaweza ukafikilia ktk njia ya udogo sasa upanuke kifikra kupitia WAZO la 3mill.atakaye penda pia kwa ufafanuzi zaidi unaweza bandika ktk jukwaa la jf da great.(kodi-muhimu)&license ili tuwektk mikono salama ahsanteni