Biashara ya madini ya dhahabu

Biashara ya madini ya dhahabu

Mfanyabiashara wa madini ni kati ya binadamu wenye roho ngumu zaidi duniani. Mtu wa madini huthamini zaidi atakachokipata kuliko alichonacho, kupoteza pesa kwake ni kawaida sana.

Kama unataka kuanza tafuta broker mzoefu unaemwamini mfanye kazi pamoja (ila kupigwa muhimu[emoji1]) paka pale utakapouelewa mchezo.. dhahabu ukienda kichwakichwa unaweza poteza 3M within a minute, utauziwa paka machuma ya bomba za maji.

Au nenda small scale ukahudumie wachimbaji paka siku watakapoupata mwamba wa madini (hapa risk ni kubwa zaidi ila ukibahatika pesa utazikimbia).
Mkuu, hebu fafanua kidogo hiyo ya kuhudumia wachimbaji small scale. Mchakato wake ukoje?
 
Jifunze pia kuichezea ile scale, halafu ununue nitric acid ukiuziwa mbichi unaimwagia kwanza kama ni feki ina Sambaa, hakikisha unayafahamu majiko ya siri siri ya kuchoma dhahabu na uzifahamu pia identified illusion,
Illusion au elution NI NINI?
 
Jifunze pia kuichezea ile scale, halafu ununue nitric acid ukiuziwa mbichi unaimwagia kwanza kama ni feki ina Sambaa, hakikisha unayafahamu majiko ya siri siri ya kuchoma dhahabu na uzifahamu pia identified illusion,
Mbichi ni dhahabu ambayo haijapita jikoni au ambayo haijapita mwaloni?
 
Na Karasha huwa gharama zake zikoje wakuu? Je karasha moja kubwa linaweza ku accumulate rudio la kama tani ngapi kwa mwezi ikiwa vijana 8 wanafanya usiku na mchana? Na je, price ya kila tani inaweza ikawa roughly sh ngapi ukiuza kama rudio tu bila kupeleka plant.
 
.
 
Used complete mil 3 na kuendelea kulingana na hali yake, gololi mil 1. Mpya mil 8-10 inategemea na thickness ya crusher na load capacity
Mawe ya kawaida unasaga mfuko kwa dk 30 kelembe mpaka saa 1. Bei kipimo ni tipper likijaa au mnapatana kwa lundo zima... Bei inategemea njaa zako, muda, competition, chemical properties/composition ya rudio, location et la
 
Inawezekana kabisa kununua rudio ikawa inalipa zaidi then, baada ya kujiridhisha na vipimo vya purity ya rudio though.
 
Wadau, habari za wakati huu... Kuna mtu yeyote yuko tayari tuungane tuanze harakati ya ukusanyaji na uchenjuaji wa mchanga wa madini (Marudio). Sina uzoefu wowote ila nina taarifa za awali na nia ya kazi. For 9 months only. Kitakachopatikana tugawane.

Kuanzia kukusanya kwa kununua mawe, kusaga mwaloni kukuza kifusi mpaka kupeleka plant.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Mimi niko tayari. Nina karasha ,mwalo nk rasilimali pesa ndio imekata napatikana geita.
 
Mambo VP?tusaidiane kupanua fikra kidogo kuhusu mada husika.iko hivi kitu chakwanza kabla haujakifanya kitu kwako ambacho nikigeni,Fanya research kabla ya kuingia huko,ktk madini ndo ma'master wapo huko,sasa chakukusaidia hapo kwa pesa uliyo nayo inatosha kama ungekuwa na uzoefu ila kwakuwa hauna ingia kwanza field alafu baadae utaelewa nilikuwa namaanisha nini?.
DHAHABU.
Kwakuwa unataka kufanya Biashara ya dhahabu,nenda pori chagua mwenyenyewe iwe.kanda ya ziwa,kahama,kakola,nyuma ya Mgodi wa BULY (nimefanya kazi hapa as driller kitengo 'drill &blast)kuna namba 9 na 2 kuelekea kulia kuna nyangalata nakushoto kwako NYAKAGWE,(nb)wachimbaji wadogo wadogo hapo #9&2 wamepewa miez 6 wachimbe kisha waondoke,kwanini Mgodi utafunguliwa siyo mda.kuna sehem musoma nyuma ya Mgodi wa nyamongo na sehem tofauti tofauti pia.
KANDA YA KUSINI.
Kuna mbeya hapa ni CHUNYA ,kuanzia matundasi,kwenda makongolosi-matumbi,mkwajuni,bomba mbili,saza hadi chini kule karibu na ziwa kwakupitia saza Kwenye GETI la Mgodi wa Shanta unashuka chini.
MPANDA
Hapa maji moto,ukija standi yampanda unapenda hiace zinazo kwenda kesekese unashukia kijiji kinaitwa st. Maria,kwambele kunadaraja linaitwa Tanganyika.
KARASHA:
Hapa ukiwa na mtaji kidogo wa vifaa hivi huta juta 1,karasha complete, 2,tank la 3000lts,3,baruti,na unakodi Compressor kuja Ku drill per day almost 150k,4,una lipia dozer 150k lts Elfu 15,unakuwa na vijana 8 wewe walipe laki na nusu 150k kwa mwezi,ila chakula wape utaona kazi itakavyo pendeza ukitoa yale mawe kasage ktk karasha lako mambo ya wizi hutaona ktk maisha yako.
PLANT & ELUTION
Hapa ukisha kamatisha dhahabu yako ktk mercury utabakiwa na mchanga ule,sasa ule mchanga unaitwa makenikia/marudio,sasa hapa kwakuwa mtaji Mdogo unaweza ukachagua uuze hayo makenikia au upeleke plant &elution,ukisema uuze utapata hela kidogo 28,30,.....60mill ila anaye nunua anapeleka plant atapata kiasi gani?(jiulize),ila ukifanya process ukapeleka wewe kama wewe kuna gharama za plant ktk kukodi (mda)Madawa Yale ya kufanya kuyeyusha hadi kupata mzigo zina gharama zake,ila siyo za kutisha.
MWISHO:
Mmi siyo mwandishi mzuri hivyo basi kupitia hili utapata kitu na vitu ambavyo vitakusaidia wewe na kwaniaba ya wengine.nimekupa mwanga unaweza ukafikilia ktk njia ya udogo sasa upanuke kifikra kupitia WAZO la 3mill.atakaye penda pia kwa ufafanuzi zaidi unaweza bandika ktk jukwaa la jf da great.(kodi-muhimu)&license ili tuwektk mikono salama ahsanteni
Nimeoenda ufafanuzi wako.
Unaweza kutoa mchanganuo wa bei wa vifaa ulivyotaja?
 
Hello natumai wote ni wazima kabisa na wa afya iliyo bora kabisa,

Jamani mimi nataka nijue haswa biashara ya madini ya dhahabu ni shilingi ngapi kwa gram1?

Na je ukiwa na 3million unaweza kuianza.

Gram moja nitainunua kwa Tsh 50k. hadi Tsh 120k kwa gram kutegemea na ubora: 24k, 22k, 18k, 14k au 10k.
Kwa pesa yako hiyo, 3m unaweza kununua 50g hadi 100g.
 
Wadau, habari za wakati huu... Kuna mtu yeyote yuko tayari tuungane tuanze harakati ya ukusanyaji na uchenjuaji wa mchanga wa madini (Marudio). Sina uzoefu wowote ila nina taarifa za awali na nia ya kazi. For 9 months only. Kitakachopatikana tugawane.

Kuanzia kukusanya kwa kununua mawe, kusaga mwaloni kukuza kifusi mpaka kupeleka plant.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app

Upo tayari kupoteza pesa kiasi gani??
 
Back
Top Bottom