3 3500 Member Joined Jul 20, 2014 Posts 54 Reaction score 103 Oct 13, 2014 #1 Habari zenu Nataka kufanya biashara ya maini ya Tanzaniate hasa hasa yale yanayojulikana maarufu kama dizeli. Je bei yake inakuwaje kule machimboni kwa watu wanaofahamu haya mambo
Habari zenu Nataka kufanya biashara ya maini ya Tanzaniate hasa hasa yale yanayojulikana maarufu kama dizeli. Je bei yake inakuwaje kule machimboni kwa watu wanaofahamu haya mambo
Makambaja Senior Member Joined Aug 11, 2014 Posts 107 Reaction score 84 Oct 15, 2014 #2 Jembe langu ngoja tuvute subira hawa wadau wa madini nadhani hawajaiona hii nyuzi watatupiamo kidogo ujuzi wao wakiiona.
Jembe langu ngoja tuvute subira hawa wadau wa madini nadhani hawajaiona hii nyuzi watatupiamo kidogo ujuzi wao wakiiona.
G bznes JF-Expert Member Joined Jul 19, 2014 Posts 1,428 Reaction score 2,953 Oct 15, 2014 #4 Maini ya Tanzaniate hayo yanatatikana kwenye kiumbe gani mkuu