Biashara ya madini ya Tanzanite

Biashara ya madini ya Tanzanite

3500

Member
Joined
Jul 20, 2014
Posts
54
Reaction score
103
Habari zenu

Nataka kufanya biashara ya maini ya Tanzaniate hasa hasa yale yanayojulikana maarufu kama dizeli. Je bei yake inakuwaje kule machimboni kwa watu wanaofahamu haya mambo
 
Jembe langu ngoja tuvute subira hawa wadau wa madini nadhani hawajaiona hii nyuzi watatupiamo kidogo ujuzi wao wakiiona.
 
Back
Top Bottom