K konar JF-Expert Member Joined Jul 20, 2012 Posts 268 Reaction score 192 Nov 27, 2018 #1 Wakuu habarini! naomba mwenye kujua kuhusu gharama za uwekezaji wa biashara ya mafuta, ukianzia na mantaki, mita na ujenzi wa miundo mbinu ya kituo, biashara hii nataka kuifanya dodoma. kiwanja ninacho tayari. naomba kuwakilisha
Wakuu habarini! naomba mwenye kujua kuhusu gharama za uwekezaji wa biashara ya mafuta, ukianzia na mantaki, mita na ujenzi wa miundo mbinu ya kituo, biashara hii nataka kuifanya dodoma. kiwanja ninacho tayari. naomba kuwakilisha