Biashara ya mafuta

Biashara ya mafuta

konar

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2012
Posts
268
Reaction score
192
Wakuu habarini! naomba mwenye kujua kuhusu gharama za uwekezaji wa biashara ya mafuta, ukianzia na mantaki, mita na ujenzi wa miundo mbinu ya kituo, biashara hii nataka kuifanya dodoma. kiwanja ninacho tayari. naomba kuwakilisha
 
Back
Top Bottom