bintishomvi
JF-Expert Member
- Mar 21, 2015
- 1,164
- 833
Wadau wamegoma kutoa ushirikiano, ngoja tusubiri sikukuu ziishe watakuja.Habari wapendwa nataka kwenda Dubai kununua spare part na magari. Naitaji kujua machimbo ya ununuzi na changamoto zake na jinsi ya kusafirisha
Michango yenu na ushauri tafadhali.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nenda Instagram mtafute Dada mmoja anaitwa Jack Umeme anaweza akakusaidia mana naona ndo Moshe zake hizo bossHabari wapendwa nataka kwenda Dubai kununua spare part na magari. Naitaji kujua machimbo ya ununuzi na changamoto zake na jinsi ya kusafirisha
Michango yenu na ushauri tafadhali.
Sent using Jamii Forums mobile app
Al awair upo mji gani toka pale uwanja wa ndege na km ngapi kutoka pale?Nimechelewa kuona uzi huu lakini niseme uzoefu wangu.
Kama unataka gari used Dubai hakuna msururu wa yards mitaani. Kuna eneo wanaita al awir ndio kuna yard kubwa; Hapo kuna makampuni mengi yanauza magari used.
Ukishanunua mwenye kampuni atakutafutia police report
Itabidi utafute msafirishaji ambaye utamkabidhi documents baada ya kulifanyia Inspection gari lako. Mara nyingi kampuni za usafirishaji watakusaidia kwenye suala la inspection, lakini vema uwepo mwenyewe pia.
Ukishamkabidhi msafirishaji hapo umemaliza, unasubiri akutumie documents zako uanze process ya kulipia ushuru
Huu ni utaratibu wa siku nyingi kidogo kunaeza kuwa na mabadiliko hapa na pale
Al Awair iko nje kidogo, si mbali na Airport nafikiri ni kama 12km ivi. Ni mahali pa kwenda na kurudi kwa urahisi ukitokea sehemu yeyote ile dubai.Al awair upo mji gani toka pale uwanja wa ndege na km ngapi kutoka pale?
Sent using Jamii Forums mobile app