Biashara ya magari na spare part Dubai na changamoto zake

Nimechelewa kuona uzi huu lakini niseme uzoefu wangu.
Kama unataka gari used Dubai hakuna msururu wa yards mitaani. Kuna eneo wanaita al awir ndio kuna yard kubwa; Hapo kuna makampuni mengi yanauza magari used.
Ukishanunua mwenye kampuni atakutafutia police report
Itabidi utafute msafirishaji ambaye utamkabidhi documents baada ya kulifanyia Inspection gari lako. Mara nyingi kampuni za usafirishaji watakusaidia kwenye suala la inspection, lakini vema uwepo mwenyewe pia.
Ukishamkabidhi msafirishaji hapo umemaliza, unasubiri akutumie documents zako uanze process ya kulipia ushuru
Huu ni utaratibu wa siku nyingi kidogo kunaeza kuwa na mabadiliko hapa na pale
 
Al awair upo mji gani toka pale uwanja wa ndege na km ngapi kutoka pale?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom