Biashara ya mahindi kwa mwaka 2022

Biashara ya mahindi kwa mwaka 2022

Mwaka huu walioficha mazao ya msimu uliopita meno nje nje!

18K debe kwa sasa, mpaka mavuno ya msimu ujao yaingie sokoni bei itakuwa kiasi gani? Usinipe jibu?

Labda serikali iachie maghala yake yatulize upepo.
 
Wadau ni kwa mara ya kwanza naandika humu hii ni kutokana na kujifunza vtu vingi kupitia kwenu hvyo nahtaji kujua wapi napata mahindi ya bei ya 60 kwa gunia hasa mkoa ya Katavi, Kigoma na kwingine
Bei ya serikali kwa gunia la kilo mia ni elf 80 na! Jiongeze kidogo mkuu
 
Utateseka kupata unachokihitaji Kwa bei hiyo,Hali ya hewa ilibadilika kitambo sana
 
Mahindi ya elfu 60 kwa gunia kalime yako. Awe kanunue kijijini kwenu kama wamevuna vizuri mwaka huu, ni ushauri tu.
 
Wadau ni kwa mara ya kwanza naandika humu hii ni kutokana na kujifunza vtu vingi kupitia kwenu hvyo nahtaji kujua wapi napata mahindi ya bei ya 60 kwa gunia hasa mkoa ya Katavi, Kigoma na kwingine
Katavi kwa sasa ni 90000 gunia, soon tunafika 110000
 
Mkuu kwa Hiyo bei kupata gunia ni uwongo ukiwa na 90 au 80 ni PM
 
Ila bei zako hazitofautiani na zinazouzwa Bongo, kiufupi ni kama bei zile zile.

Kuna products bei zake ni kubwa kuliko bei za mtandaoni Amazon ya uae, noon etc

Ili uvutie watu wengi jaribu kurekebisha bei
Nitamfikishia ujumbe ataufanyia kazi naona leo yuko bize,lakini kwa ushauri wangu binafsi kama kuna bidhaa umeipenda kwa jamaa na pesa yako imepungua usisite kumuweka wazi jamaa ni mtu muelewa sana namjua.
 
Wadau ni kwa mara ya kwanza naandika humu hii ni kutokana na kujifunza vtu vingi kupitia kwenu hivyo nahitaji kujua wapi nitapata mahindi ya bei ya 60 kwa gunia hasa mkoa ya Katavi, Kigoma na kwingine
elfu 60 mwaka huu?? hiyo bei hata shambani hupati.
 
Back
Top Bottom