Biashara ya mahindi kwa mwaka 2022

Biashara ya mahindi kwa mwaka 2022

Gunia ni mia na 20 boma huku Kilimanjaro
JPEG_20220711_141155_4358769021223906290.jpg
 
Wadau ni kwa mara ya kwanza naandika humu hii ni kutokana na kujifunza vtu vingi kupitia kwenu hivyo nahitaji kujua wapi nitapata mahindi ya bei ya 60 kwa gunia hasa mkoa ya Katavi, Kigoma na kwingine
Kwa mwaka huu uwez kupata kuna wakenya wamejaa wanazinunua balaa na wakulima walinunua mbolea gunia 120,000, vijijin wanakolima mahind sana kama mbozi debe ni 12,000 ambako bei miaka mingne ilikiwa ni 3500 mwez kama huiu
 
hyo bei sio mbaya mkuu kama mzgo unapatkana wa kutosha yaan ndan ya wk 2 una tann20 inalpa sana tu! kuna sehemu wananunua kwa kilo hvyo ukipma debe lazma lkulpe maana linq ziada
 
Wadau ni kwa mara ya kwanza naandika humu hii ni kutokana na kujifunza vtu vingi kupitia kwenu hivyo nahitaji kujua wapi nitapata mahindi ya bei ya 60 kwa gunia hasa mkoa ya Katavi, Kigoma na kwingine
Kwa bei hiyo boss si rahisi kupata ila me naweza kukupa kwa 65 karibu tuyajenge. Nna imani hatuwezi kushindwana
 
Nitamfikishia ujumbe ataufanyia kazi naona leo yuko bize,lakini kwa ushauri wangu binafsi kama kuna bidhaa umeipenda kwa jamaa na pesa yako imepungua usisite kumuweka wazi jamaa ni mtu muelewa sana namjua.
Wewe na yeye ni kitu 1
 
Back
Top Bottom