jogoo wa maajabu
JF-Expert Member
- Mar 4, 2018
- 773
- 1,589
nilishawahi kulima na ni kilimo kizuri sana na kinalipa sana endapo ukikifanyia timing... kati ya msimu na msimu yani sokoni uende kuuza muhindi upo pekee yako utapata pesa mpaka utashangaa tatizo humu watu wanakatisha wenzao tamaa na anayekatisha tamaa hajawah kufanya hicho kilimo