Biashara ya mahindi mabichi

Kuna jamaa mmoja alilima kwa kutumia laki tatu akapata milioni ndani ya miezi mitatu. Sema yule jamaa anachapa kazi sana hiyo laki tatu aliweza sababu vitu vingi alifanya yeye. Maeneo ya Kitonga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…