Ndiyo mkuu,ndio kazi yangu kuu navushaga mazao kila maraKabla ya yote, unaujua utaratibu wa kuvusha mazao ya chakula nje ya nchi yakiwa ghafi??
Serikari ilizuia kutoa export permit za mahindi we unapeleka kwa vibari gani mkuu,now wanatoa vibari vya zimbabwe tuJuzi nilipost humu kuhusu fulsa ya biashara ya mahindi Rwanda lakini response naona imekuwa ndogo nawalioonyesha interest hawako serious at all.
Mfanyabiashara mwenye uwezo wa kusupply mahindi Kigali, aje inbox tupange biashara.
Cha mhimu ni ubora wa mahindi manake huku quality ni mhimu sana..
Serikari ilizuia kutoa export permit za mahindi we unapeleka kwa vibari gani mkuu,now wanatoa vibari vya zimbabwe tu
lugha ngumuVibali bwana
Ndiyo mkuu,ndio kazi yangu kuu navushaga mazao kila mara
Usisumbuke..hata sasa hivi ninavyoandika kuna mzigo nimelipia ushuru boarder..Mara ya mwisho ni lini kupeleka mahindi Rwanda na ulipata wapi kibali
Hata Mimi inanishangaza hii kitu.Serikari ilizuia kutoa export permit za mahindi we unapeleka kwa vibari gani mkuu,now wanatoa vibari vya zimbabwe tu
Weka detail za kutosha gharama za usafiri kodi huko wananunuaje n.kJuzi nilipost humu kuhusu fulsa ya biashara ya mahindi Rwanda lakini response naona imekuwa ndogo nawalioonyesha interest hawako serious at all.
Mfanyabiashara mwenye uwezo wa kusupply mahindi Kigali, aje inbox tupange biashara.
Cha mhimu ni ubora wa mahindi manake huku quality ni mhimu sana..
Mkuu salama nimeona thread yako, binafsi nafanya biashara ya nataka moja ya soko nalofocus ni Rwanda, embu naomba utupe mchakato pia bei zikoje, mbali na kuuiza nataka natrgeneza unga sembe, line yangu ina capacity ya 10 tons per day naomba unipe detailsJuzi nilipost humu kuhusu fulsa ya biashara ya mahindi Rwanda lakini response naona imekuwa ndogo nawalioonyesha interest hawako serious at all.
Mfanyabiashara mwenye uwezo wa kusupply mahindi Kigali, aje inbox tupange biashara.
Cha mhimu ni ubora wa mahindi manake huku quality ni mhimu sana..
Njoo tuyajenge mkuuJuzi nilipost humu kuhusu fulsa ya biashara ya mahindi Rwanda lakini response naona imekuwa ndogo nawalioonyesha interest hawako serious at all.
Mfanyabiashara mwenye uwezo wa kusupply mahindi Kigali, aje inbox tupange biashara.
Cha mhimu ni ubora wa mahindi manake huku quality ni mhimu sana..
Maelezo mafupi sana boss, funguka hatua zipoje kiasi tani zinazohitajika ni ngapi?Juzi nilipost humu kuhusu fulsa ya biashara ya mahindi Rwanda lakini response naona imekuwa ndogo nawalioonyesha interest hawako serious at all.
Mfanyabiashara mwenye uwezo wa kusupply mahindi Kigali, aje inbox tupange biashara.
Cha mhimu ni ubora wa mahindi manake huku quality ni mhimu sana..