Biashara ya Mahindi Rwanda..

Biashara ya Mahindi Rwanda..

Kabare12

Senior Member
Joined
Nov 12, 2015
Posts
100
Reaction score
97
Juzi nilipost humu kuhusu fulsa ya biashara ya mahindi Rwanda lakini response naona imekuwa ndogo nawalioonyesha interest hawako serious at all.
Mfanyabiashara mwenye uwezo wa kusupply mahindi Kigali, aje inbox tupange biashara.
Cha mhimu ni ubora wa mahindi manake huku quality ni mhimu sana..
 
Kabla ya yote, unaujua utaratibu wa kuvusha mazao ya chakula nje ya nchi yakiwa ghafi??
 
Juzi nilipost humu kuhusu fulsa ya biashara ya mahindi Rwanda lakini response naona imekuwa ndogo nawalioonyesha interest hawako serious at all.
Mfanyabiashara mwenye uwezo wa kusupply mahindi Kigali, aje inbox tupange biashara.
Cha mhimu ni ubora wa mahindi manake huku quality ni mhimu sana..
Serikari ilizuia kutoa export permit za mahindi we unapeleka kwa vibari gani mkuu,now wanatoa vibari vya zimbabwe tu
 
Hata Mimi inanishangaza hii kitu.
Kama Kuna wakulima wakubwa wenye mitaji ya billions of money wanalalamika hawana pa kuyapeleka mahindi yao baada ya serikali kuzuia uuzaji wa nje ya nchi.
Sasa huyu anasafirishaje.
 
Juzi nilipost humu kuhusu fulsa ya biashara ya mahindi Rwanda lakini response naona imekuwa ndogo nawalioonyesha interest hawako serious at all.
Mfanyabiashara mwenye uwezo wa kusupply mahindi Kigali, aje inbox tupange biashara.
Cha mhimu ni ubora wa mahindi manake huku quality ni mhimu sana..
Weka detail za kutosha gharama za usafiri kodi huko wananunuaje n.k
 
Juzi nilipost humu kuhusu fulsa ya biashara ya mahindi Rwanda lakini response naona imekuwa ndogo nawalioonyesha interest hawako serious at all.
Mfanyabiashara mwenye uwezo wa kusupply mahindi Kigali, aje inbox tupange biashara.
Cha mhimu ni ubora wa mahindi manake huku quality ni mhimu sana..
Mkuu salama nimeona thread yako, binafsi nafanya biashara ya nataka moja ya soko nalofocus ni Rwanda, embu naomba utupe mchakato pia bei zikoje, mbali na kuuiza nataka natrgeneza unga sembe, line yangu ina capacity ya 10 tons per day naomba unipe details
 
Juzi nilipost humu kuhusu fulsa ya biashara ya mahindi Rwanda lakini response naona imekuwa ndogo nawalioonyesha interest hawako serious at all.
Mfanyabiashara mwenye uwezo wa kusupply mahindi Kigali, aje inbox tupange biashara.
Cha mhimu ni ubora wa mahindi manake huku quality ni mhimu sana..
Njoo tuyajenge mkuu
 
Mimi sikuwa na account humu lkn Kwa hili nimefunga account.Naomba Tuzungumze.
 
Juzi nilipost humu kuhusu fulsa ya biashara ya mahindi Rwanda lakini response naona imekuwa ndogo nawalioonyesha interest hawako serious at all.
Mfanyabiashara mwenye uwezo wa kusupply mahindi Kigali, aje inbox tupange biashara.
Cha mhimu ni ubora wa mahindi manake huku quality ni mhimu sana..
Maelezo mafupi sana boss, funguka hatua zipoje kiasi tani zinazohitajika ni ngapi?
 
Back
Top Bottom