Mgao wa umeme ni connection kati ya wafanya biashara wa mafuta na jenereta na wakataji wa umeme...!Ukipita Kariakoo, husikii kelele za watu tena bali Majenereta ambayo kila duka linalo.
Mengi ni madogo madogo, kila moja na mlio wake.
Maduka ya kuuza majenereta nayo yamepandisha bei za jenereta hizo.
Jenereta zilizokuwa stoo zimeitiwa mafundi
Tanesco mwatuweza
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
"Usiku wanafungulia maji yanamwagika hadi yanaisha kwenye bwawa,alagu asubuhi ukifanya ziara unaambiwa mheshimiwa Hali ya ukame imezidi kuwa mbaya,maji yanakauka kwa Kasi sana. Huu mchezo kwenye uongozi wangu haukubaliki na nitarara nao mbere watu wote wataonikwamisha na kufanya hii hujuma" Dr MagufuliHuenda ni kale kamchezo alikosema marehemu JPM.