Biashara ya Majenereta imeshamiri

Biashara ya Majenereta imeshamiri

HIMARS

JF-Expert Member
Joined
Jan 23, 2012
Posts
70,791
Reaction score
98,334
Ukipita Kariakoo, husikii kelele za watu tena bali Majenereta ambayo kila duka linalo.

Mengi ni madogo madogo, kila moja na mlio wake.

Maduka ya kuuza majenereta nayo yamepandisha bei za jenereta hizo.

Jenereta zilizokuwa stoo zimeitiwa mafundi

Tanesco mwatuweza

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
Ukipita Kariakoo, husikii kelele za watu tena bali Majenereta ambayo kila duka linalo.

Mengi ni madogo madogo, kila moja na mlio wake.

Maduka ya kuuza majenereta nayo yamepandisha bei za jenereta hizo.

Jenereta zilizokuwa stoo zimeitiwa mafundi

Tanesco mwatuweza

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Mgao wa umeme ni connection kati ya wafanya biashara wa mafuta na jenereta na wakataji wa umeme...!
 
Huenda ni kale kamchezo alikosema marehemu JPM.
"Usiku wanafungulia maji yanamwagika hadi yanaisha kwenye bwawa,alagu asubuhi ukifanya ziara unaambiwa mheshimiwa Hali ya ukame imezidi kuwa mbaya,maji yanakauka kwa Kasi sana. Huu mchezo kwenye uongozi wangu haukubaliki na nitarara nao mbere watu wote wataonikwamisha na kufanya hii hujuma" Dr Magufuli

Ikapita miaka 6 hakuna mgao wa umeme Wala generators kuunguruma. Magufuli akafa,wakaja wait. Ghafla umeme ukaanza kuwa tatizo,kila saa unakatika

Kipara akaja na utetezi "unajua enzi ya marehemu mitambo ilikuwa inafanya kazi non stop huku Haifanyiwi service. Wafanyakazi walikuwa wanamwogopa mkuu asije kuwatumbua (as if mitambo nayo inamwogopa JPM ikawa inapiga kazi bila kuleta shida)"

Kisingizio Cha mitambo haikufanyiwa service kisa waliogopa kutumbuliwa nimekuwa hakina mashiko,now ukame!!! Kipara hatutaki majenereta yako.

Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
 
Weeka maneno...
images.jpg
 
Juzi tu nimeagiza magenereta na yameisha, naagiza mengine na serikali naipa kodi, shida ni nini?
 
Back
Top Bottom