Jiandae kutengwa, kuchukiwa bila sababu wewe na familia yako, kuhamishwa kwa nguvu mtaani maana kelele za wafiwa zitawaadhiri watu kisaikolojia
utabadilishwa tabia maana biashara ni biashara ukiizoea utasahau kuwa ni deal ya watu kufa au kupoteza wapendwa wao, ikitokea mmekwaruzana utawajibu vibaya wafiwa bila kukusudia au utakataa punguzo la bei na hapo ndio kuitwa katili maana utakuwa huna hisia na huzuni za wengine
ujiandae kisaikolojia maana ukimpigia simu mtu au kumtembelea kama kuna ugonjwa waweza tolewa nje kwa kuhisiwa umekuja kufanya deal za baishara yako
Kutoweza kufanya biashara nyingine yoyote maana kutokana na hayo juu, bidhaa zako au huduma zako nyingine zote zitasusiwa
Maombi yako kila kukicha "Mungu lete vifo vingi leo nipate wateja!" joking
NB Corona sio biashara ya maiti wale wanachonga jeneza na kutoa car services na mapambo, maiti ni issue nyingine, pia huujui undani wao au jinsi gani inawaadhiri vile tu unaiona business yao kwa nje.