Biashara ya Majeneza na kutosha maiti

Biashara ya Majeneza na kutosha maiti

Ndugu wateja tumefungua BRIGHT CANDLES FUNERAL SERVICES Sinza karibu na Kitambaa cheupe bar.

Gari kali Mercedes Benz c200, 220, Jeep Grand Cherokee, Land rover Discovery 4, Alphard, Noah na Coaster full AC kwa ajili ya waombolezaji (Kwa idadi yao).

1. Jeneza la kisasa (pamoja na suti ya marehemu, manukato),
2. Decoration + signing book,
3. Usafiri (hearse na bus ya waombolezaji),
4. Sare (miwani tinted+waombolezaji),
5. Music System (DJ),
7. Stationeries (wasifu wa marehemu, nyimbo za maombolezo),
8. Chakula - buffet (Plate = 6,000/=),
9. Vinywaji (juice, soda, bia-imported na local),
10. Venue ( tents, viti na meza),
11. MC
**Tumefungua pia matawi Morogoro (Mikese), Kibaha-Tumbi, Dodoma, Mwanza, Moshi na Arusha, karibuni

Karibuni wote.


View attachment 2696206
Pesa kama yote
 
Back
Top Bottom