Biashara ya maji maarufu kama Water ATM

_pjc_

Member
Joined
Aug 25, 2019
Posts
58
Reaction score
31
Habarini wanajamvi, nilikuwa na wazo la biashara ya maji maarufu kama Water ATM lakini sina taarifa sahihi juu ya biashara hii, hivyo basi kwa yeyote mwenye taarifa yoyote juu ya biashara hii usisite kushare nasi, karibuni wanajukwaaView attachment 2398337
 
Nzuri si unawapelekea watu maji kama Dawasa au? Msambazaji wangu wa maji kakasirika kwa vile binti yake alikuwa anafungulia maji najaza tank bure akakata waya
 
Hapo hakuna jipya kuna ATM za maziwa na maji, nenda Moshi na Mazimbu-Morogoro utakuta. Ni ngumu bado haina tija kwa mazingira ya kibongo, watavunja na kuiba, bado kama ATM itahitaji mtu kuwepo hapo muda wote wa biashara
 
Iko poa kuna hawa jamaa wapo dsm maeneo ya k.koo na kwenye vyuo..wanatengeneza hela sana lita moja 200tsh.

Inahitaji location yenye mzunguko wa watu kama masokoni..stendi au vyuoni.

Kila jema.

#MaendeleoHayanaChama
 
Yes boss, je kuna mtu unaemfahamu mwenye taarifa juu ya hii biashara
 
Hapo hakuna jipya kuna ATM za maziwa na maji, nenda Moshi na Mazimbu-Morogoro utakuta. Ni ngumu bado haina tija kwa mazingira ya kibongo, watavunja na kuiba, bado kama ATM itahitaji mtu kuwepo hapo muda wote wa biashara

Nahisi utakuwa umechanganya, hii biashara ipo na inafanyika hata pale k/koo
 
Nzuri si unawapelekea watu maji kama Dawasa au? Msambazaji wangu wa maji kakasirika kwa vile binti yake alikuwa anafungulia maji najaza tank bure akakata waya

Nahisi utakuwa umechanganya, kama ulishawahi kuona pale k/koo kuna sehemu wanauza maji sh 200
 
Habarini wanajamvi, nilikuwa na wazo la biashara ya maji maarufu kama Water ATM lakini sina taarifa sahihi juu ya biashara hii, hivyo basi kwa yeyote mwenye taarifa yoyote juu ya biashara hii usisite kushare nasi, karibuni wanajukwaa
Watu walishawekeza tayari mbona stendi ya Magufuli.Dar es salaam ,na sehemu kibao Dar zipo
 
Nzuri si unawapelekea watu maji kama Dawasa au? Msambazaji wangu wa maji kakasirika kwa vile binti yake alikuwa anafungulia maji najaza tank bure akakata waya
ATM za bomba za maji ziko kibao

Mikoa mingi tu unatumbuliza hela unawaza ndoo au debe lako

Wajanja walishawahi Siku nyingi

Ujanja kuwahi ukiona fursa
 
Nzuri si unawapelekea watu maji kama Dawasa au? Msambazaji wangu wa maji kakasirika kwa vile binti yake alikuwa anafungulia maji najaza tank bure akakata waya
ATM za bomba za maji ziko kibao

Mikoa mingi tu unatumbuliza hela unajaza ndoo au debe lako.Bila kutumbuliza hela kwenye ATM maji hayatoki kwenye bomba

Wajanja walishawahi Siku nyingi

Ujanja kuwahi ukiona fursa
 
Taarifa or Msaada gani unaitaji zaidi mleta mada? Za kibiashara or Technical (unataka kuwa nayo)
 
Kama ni technical nicheki nikuunganishe na wataalamu wakutengenezee design unayoitaka
 
ATM za bomba za maji ziko kibao

Mikoa mingi tu unatumbuliza hela unajaza ndoo au debe lako.Bila kutumbuliza hela kwenye ATM maji hayatoki kwenye bomba

Wajanja walishawahi Siku nyingi

Ujanja kuwahi ukiona fursa
aah kumbe mabomba ya hivyo, huwa yanapigaga na mziki hivi inakuwa soundtrack kwa mchota maji😁
 
Habarini wanajamvi, nilikuwa na wazo la biashara ya maji maarufu kama Water ATM lakini sina taarifa sahihi juu ya biashara hii, hivyo basi kwa yeyote mwenye taarifa yoyote juu ya biashara hii usisite kushare nasi, karibuni wanajukwaa
Kama uko dar jarib kumwona anayefanya hivyo ndan ya kituo cha mawasiliano atakupa mwanga.
 
Wabongo kawa kuvamia mawazo ya wengine aliyeleta hii kapiga hela sana. Ila utakuja shangaa haya mabanda yanakuja kuenea kila sehemu.

Ungeenda kwenye hizo atm kama mteja then uwe unawadodosa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…