Mwanafalsafa
Platinum Member
- Jun 24, 2007
- 673
- 865
Mikoa gani kuna hizo mashine?ATM za bomba za maji ziko kibao
Mikoa mingi tu unatumbuliza hela unawaza ndoo au debe lako
Wajanja walishawahi Siku nyingi
Ujanja kuwahi ukiona fursa
Naomba nitumie picha au video za hizo mashine nione zinavyofanya kazi, na wapi zinakouzwa.