Biashara ya maji ya Mecury

Mercury nyekundu n utapeli mtupu tena upuuzi uliotukuka ....mercury y kawaida hiwa yatumika migodini ili kukamatisha dhahabu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na kweli niliiona kwa macho yangu ina rangi kama juice ya karoti au rangi ya mbegu la parachichi. Na mpaka sasa kuna watu bado wanadanganywwa mi jamaa yangu aliuza hadi kiwanja akaambiwa soko lake ni juu mno kuna wazee walimdanganya mpaka sasa sijui alienda nao wapi na sijui kama yuko hai au mfu maana alipotea mazima na familia aliitelekeza
 

Daa inasikitisha sana imagine tamaa imemfanya na familia aikimbie
Dunia hii Ina mengi aisee


Sent from my iPhone using Tapatalk
 
Kuna ndugu yangu amenishirikisha kuhusu hii biashara, kwa bahati nzuri katika pitapita nikakutana na huu uzi nimejaribu kwa kila namna kumwambia kuwa hiyo biashara ni utapeli amekataa kunielewa.
Amenisihi sana nisimwambie mtu yoyote. Nafikiria nikikaa kimya yakampata matatizo kama ya huyo jamaa yako si nitakua nimekosea sana?
Kesho (26/4) ndo ana mpango wa kusafiri kufuata hizo mercury zake.
Stor zake ni kuwa milionea tu hahah.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakuna mecury inayotiririka yenye kipimo cha kg bali tuna gm
 
Nawatakia mwisho ulio mwema[emoji124][emoji124][emoji124][emoji124]
 
Daa inasikitisha sana imagine tamaa imemfanya na familia aikimbie
Dunia hii Ina mengi aisee


Sent from my iPhone using Tapatalk
shiad siyo Biashara shida hapo ni yeye kutokuwa na uelewa sahihi nakile alichoambiwa.
Wanayotafuta watu na ambayo ni hoax ni red mercury na ndio wanasema ukipata unauza kilo unanunua nyumba za mji mzima


Sent from my iPhone using Tapatalk
Red na Black ndiyo hupatikana sana lakini nyingine hazisemwi kwa kuwa ni isssue sana hata Kuipata na huwa dau lake lipo Juu zaidi.
Kuwepo ipo ila siyo rahisi kama wengi wafikiriavyo na ina kazi nyingi sana.
Yanaweza sana yalikuwa ni yenyewe ila yeye alikuja na kipimo cha maji ya Zilcon
Hii ni ya kiwanda mkuu
 
Mkuu!
Kama Una uhakika kuwa Mercury yako ni Pure Red na Iko active japo 50%+ then Karibu, Mimi Ninao Wateja wa uhakika, Wazungu wanaishi nje....!

Muhimu iwe Pure Natural sio fake wala ya Kiwandani!
 
Mkuu!
Kama Una uhakika kuwa Mercury yako ni Pure Red na Iko active japo 50%+ then Karibu, Mimi Ninao Wateja wa uhakika, Wazungu wanaishi nje....!

Muhimu iwe Pure Natural sio fake wala ya Kiwandani!
Ushauri tumia kampumi ya ndani yenye kibali wale watokao nje huwa hawalipi kodi maana wanakuja na tourist visa na siyo bussness na hapo kuna hatari ya kulipwa hela fake.

Na kama hawalipi kodi basi pesa ikiingia kwenyw account inazuiliwa na hawawezi kulipa kodi hawana vibali kufanya biashara hiyo hapa ndani
 
Kampuni za Ndani Zipo Kenya Mkuu!
Tanzania kuna Kampuni zipi za ndani!?
Zaidi Mlolongo wa middle Men ambao wamesababisha hii biashara iwe Hivi leo!?

Kuwataperi watu iwe kwa kawaida wakishindwa hata kutumia Bunduki!

Leo hii Maneno yote yanaosemwa juu ya hii Business yamesababishwa na hao so called Internal buyers hasa na Madalali Zao!
Sijui kama unafahamu Malalamiko ya baadhi ya seller ambayo waliingiziwa pesa Bank ki halali but Serikali imezuia pesa zao!

Deal ni Kuuza Cash then kila mtu anaenda Kufa na mzigo wake, mnaweza mkawa na Machine ya kuhesabia pesa..... Ika detect fake money....

Wapo watu wamelipwa pesa fake za Kibongo na Buyers wa ndani hao unaosema Wana Vibari....
 
Ipo moja tu Mzee kenya hakuna kampuni wale wanatumia mpaka mawakili ambao ni matapeli tumzee nimepita huko,hiyo kuingiziwa pesa benk na kuzuiliwa issue ni kuwa hao walioingiza hela hawana vibali vya biashara hiyao ndani ya taifa nakusaidia kitu kwenye inbox yako
 
sidhani kwa ninao ongelea mimi kama ni hao uliokutana nao wewe ndani ya Hotel
 
Mkuu!
Kama Una uhakika kuwa Mercury yako ni Pure Red na Iko active japo 50%+ then Karibu, Mimi Ninao Wateja wa uhakika, Wazungu wanaishi nje....!

Muhimu iwe Pure Natural sio fake wala ya Kiwandani!
Powder naona PM yako iko limited. Naomba uni PM kuhusiana na hili jambo kwenye uzi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…