Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asante sana sana 🙏1. inadepend na eneo ulilopo kama uko sehemu wanataka makeup za 10k na 5k sijui basi nenda kariakoo kama upo dar nunua zako huko au agiza bag la kila kitu tiffany mke wa diba anauzaga 150k kama sio 300k
kama unaowapaka wanapenda makeup classic bei sio shida zao ninua product nzuri zile zisizochuja kipenzi
au kama mtaji unaruhusu weka zote
2. make sure una kasehemu kaziri kwa ajili ya pili, Ring light kwa ajili ya quality, kiti kizuri simu yenye quality nzuri
na kama ni makeup studio kabisa basi weka kabisa kijana maalum wa picha