Kilanga komo
JF-Expert Member
- Aug 27, 2022
- 337
- 290
Asante mkuu nawapataje Hawa distributor waoSijui kwa komoro ila kwa bongo utafte waganga use distributor wao
Asante mkuu nawapataje distributors wao????Sijui kwa komoro ila kwa bongo utafte waganga use distributor wao
Daaah karibu mdau Kuna mwengine alikuwa anataka kilo 400 humu alipost pianami naweka kambi.
kuna mdau Voila aliwahi kuweka post naye alikua kuna mzungu nje alikua anataka mzigo wa kutosha awe anamtumia kila mwezi
Yanahela Sana haya madude kwa njenami naweka kambi.
kuna mdau Voila aliwahi kuweka post naye alikua kuna mzungu nje alikua anataka mzigo wa kutosha awe anamtumia kila mwezi
Asante kwa ushauriKwani pale feri si wanauza? Ungefika pale upate connection
Wanauzia kwa ndani au kwa nje, maana nikipitaga kwa nje naangaliga sijabahatisha kuwaona..Kwani pale feri si wanauza? Ungefika pale upate connection
Kwenye soko kama unaingia wanapokaanga samakiWanauzia kwa ndani au kwa nje, maana nikipitaga kwa nje naangaliga sijabahatisha kuwaona..
ShukraniKwenye soko kama unaingia wanapokaanga samaki
Unataka kujua Nini Kati ya hayo hapo juu kibali au soko nikujuze niliyoyapatanami naweka kambi.
kuna mdau Voila aliwahi kuweka post naye alikua kuna mzungu nje alikua anataka mzigo wa kutosha awe anamtumia kila mwezi
yote mkuuUnataka kujua Nini Kati ya hayo hapo juu kibali au soko nikujuze niliyoyapata
Sawayote mkuu
Pole ila hawajakupa connection ya wanapouzia wao, bei lazima wakulalie maana na wao walanguziNimefanikiwa kufika hiyo sehemu ya soko ila Bei Ndo changamoto EINSTEIN112
Ni kweliPole ila hawajakupa connection ya wanapouzia wao, bei lazima wakulalie maana na wao walanguzi