Biashara ya makome (Seashell)

Biashara ya makome (Seashell)

Kilanga komo

JF-Expert Member
Joined
Aug 27, 2022
Posts
337
Reaction score
290
Hivi soko/duka la biashara hii ya seashells (makome) hupatikana Wapi kwa hapa Dar es salaam/Zanzibar.?

Lakini pia

✓Je inahitaji kibali cha kukusanya/kusafirisha?
✓Wapi ninaweza kuuza kwa jumla/rejareja?

Karibuni kuchangia wakuu.

seashells-souvenirs-for-tourist-nungwi-beach-zanzibar-tanzania(0).jpg
shells-and-dry-stuffed-sea-animals-on-the-city-market-in-africa-fish-market-in-dar-es-salaam-t...jpg
 
Hivi soko/duka la biashara hii ya seashells (makome) hupatikana Wapi kwa hapa Dar es salaam/Zanzibar.?

Lakini pia

✓Je inahitaji kibali cha kukusanya/kusafirisha?
✓Wapi ninaweza kuuza kwa jumla/rejareja?

Karibuni kuchangia.

seashells-souvenirs-for-tourist-nungwi-beach-zanzibar-tanzania(0).jpg
shells-and-dry-stuffed-sea-animals-on-the-city-market-in-africa-fish-market-in-dar-es-salaam-t...jpg
 
nami naweka kambi.
kuna mdau Voila aliwahi kuweka post naye alikua kuna mzungu nje alikua anataka mzigo wa kutosha awe anamtumia kila mwezi
 
Daaah karibu mdau Kuna mwengine alikuwa anataka kilo 400 humu alipost pia
 
nami naweka kambi.
kuna mdau Voila aliwahi kuweka post naye alikua kuna mzungu nje alikua anataka mzigo wa kutosha awe anamtumia kila mwezi
Unataka kujua Nini Kati ya hayo hapo juu kibali au soko nikujuze niliyoyapata
 
Back
Top Bottom