fredj2
JF-Expert Member
- Oct 18, 2013
- 235
- 93
Ndugu wanajamvi, heshima kwenu.
Nataka kujiingiza kwenye hii biashara ya kununua machupa na kuuza kiwandani.
Kwa wale wanaofanya au waliofanya nipeni dondoo ya hii biashara.
Bei ya kununulia kutoka kwa waokotaji na bei ya kuuza kiwandani.
Kwa nilipo nimeona hii fursa.
Tusaidiane kujenga nchi ya viwanda.