Biashara ya mapambo kwenye masherehe,mikutano na n.k

Ni biashara nzuri sana,normally costs nyingi ziko mwanzo wakati unaanza manake itakubidi kununua makorokoro kibao lkn ukishasettle unakula tu hela miguu juu kila wiki una uhakika wa laki 3 take home na kuendelea depending na ukubwa wa event.
Yes by the way mi nimeanza kwa KUNUNUA materials mdogomdogo
 
Nawashukuru wote kwa michango yenu mizuri, ntaendelea kujipanga na kujiandaa zaidi ili nifanikishe malengo yangu. Mwenye mawazo zaidi anakaribishwa asanteni sanaa sanaa ndugu zangu.
 
Materials gani ndugu yangu nielekeze na mimi uenda nikaanza na hayo, asante.
 
Ndg zangu hbr za leo, nahitaji kuanzisha bihashara ya mapambo kwenye sherehe mbalimbali, mikutano na sehemu nyingine zinazohitaji mapambo. Lkn sina uzoefu na siijui vzr bihashara hii, mwenye ufahamu zaidi na bihashara hii tafadhali naomba mawazo yako. Nawasilisha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwenye ufahamu wa bihashara ya mapambo kwenye sherehe, mikutano n.k tafadhali maana nataka nianzishe bihashara hiyo
Nawasilisha.
 
Mwenye ufahamu wa bihashara ya mapambo kwenye sherehe, mikutano n.k tafadhali maana nataka nianzishe bihashara hiyo
Nawasilisha.
Unahitaji kufanya hiyo kazi au Unahitaji mtaalamu wa mapambo akupambie???? Nijibu tushauriane coz mimi nami najishughulisha na kazi ya mapambo
 
Habari wanajamvi
Nataka Anza biashara ya kukodisha vitu vya upambaji yaani kukodisha mapambo, viti, maturubai,n.k

Sina mtaji WA kutosha kuanza Lkn nataka fanya outsourcing ya mambo ambayo Sina nataka kufanya catering na kusambaza vtu nkitegemea negotiation na wale wanaofanya hzo Kazi kwa sababu nataka Fanya marketing ya nguvu Lkn service nyingi natarajia kupartner na wenyeji tugawane faida Afu baadae nkiwa fresh niwe na vitu yangu. Hiyo Ndio idea nlonayo naomba mawazo yenu mnisaidie namimi nipate grisi ya kulegezea vyuma vilokaz
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…