Habari wanajamvi
Nataka Anza biashara ya kukodisha vitu vya upambaji yaani kukodisha mapambo, viti, maturubai,n.k
Sina mtaji WA kutosha kuanza Lkn nataka fanya outsourcing ya mambo ambayo Sina nataka kufanya catering na kusambaza vtu nkitegemea negotiation na wale wanaofanya hzo Kazi kwa sababu nataka Fanya marketing ya nguvu Lkn service nyingi natarajia kupartner na wenyeji tugawane faida Afu baadae nkiwa fresh niwe na vitu yangu. Hiyo Ndio idea nlonayo naomba mawazo yenu mnisaidie namimi nipate grisi ya kulegezea vyuma vilokaz