Biashara ya masaji inalipa?

Location ndo mpango mzima..
Wadada wakufanya hio kazi wawe wazuri na wakarimu...hapo utapiga mpunga balaaaa

okay lakini kama location ikiwa mbali kidogo na sehemu zilizo zoeleka lakini wadada ni wauzri na classic inakuwaje?Lets say location ni kawe,lakini wadada ni wazuri na classic? Pia unajua namna wnavyo lipwa?
 
Wewe ndo unatakiwa kujua utawalipa vipi ili faidi yako ipatikane. Hakikisha huduma na bei zako ziko competitive ili mteja akija leo, arudi kesho yake..
Kwambele weka classic barbershop ili upunguze gharama za matangazo..
 
For the loongest time nataka kufanyiwa massage.my only concern is sipendi mauchafu ya huko.ukienda uliza bei tu unachombezwa.wengine tunataka strick massage,somepeople cannot go and do kwababu ya staha ya maeneo.but if you will be serious ,utapata biashara.hasa watu wa maofisini.
 
okay lakini kama location ikiwa mbali kidogo na sehemu zilizo zoeleka lakini wadada ni wauzri na classic inakuwaje?Lets say location ni kawe,lakini wadada ni wazuri na classic? Pia unajua namna wnavyo lipwa?

Mkuu, location kwa Kawe mbona sehemu poa, as long as huduma ikawa karibu na road na bei ya kuvutia kuvuta wateja, watahadithiana tu
 
Mkuu, location kwa Kawe mbona sehemu poa, as long as huduma ikawa karibu na road na bei ya kuvutia kuvuta wateja, watahadithiana tu

Poa poa kaka,let me do it . Soon itakuwa sokoni...
 
Wewe ndo unatakiwa kujua utawalipa vipi ili faidi yako ipatikane. Hakikisha huduma na bei zako ziko competitive ili mteja akija leo, arudi kesho yake..
Kwambele weka classic barbershop ili upunguze gharama za matangazo..

Asante sana kaka kwa ushauri,nataka niweke na huduma ya "mobile massage " pia, yaani mteja anafuatwa mahali alipo ( though kutakuwa na restriction ya maeneo ).Unaonaje hapo,is ot safe kwa mteja kufuatwa mahali alipo eidha nyumbani au hotelini e.tc?
 
Kazi nzuri na malipo yake ni mazuri over !! Muhimu uwaliwaze wateja wakisha zoea watakuja kwa kasi !!
 
Mobile massage ni nzuri kama utasimamia vizuri, ila disadvantages zake ni kubwa zaidi.. Kwanza, ni one way ticket ya kwenda kufanya ngono, na tatizo likitokea, kama ubakaji, you may be liable.

Ukikorofishana na mwanasiasa, au mwandishi wa habari, biashara yako wataiua, kwa kukupakazia na kukutangazia mambo mengi mabaya, kama kuuza malaya, kuhamasisha ngono na mwishowe kuishia jela
..
 
asante kwa ushauri wako kaka,nitauzingatia sana..asante sana
 
asante sana kaka
Mkuu Likud, Ukiwa seious,acha bhaana ..maana Generation ya sasa ipo tayari katika mambo haya haswa Health care, Vipodozi.... coffee shops !! utafanikisha tu..GO AHEAD with your plan .!!
 
Mkuu Likud, Ukiwa seious,acha bhaana ..maana Generation ya sasa ipo tayari katika mambo haya haswa Health care, Vipodozi.... coffee shops !! utafanikisha tu..GO AHEAD with your plan .!!

Pamoja sana kaka
 
Masaji na danguro ni kama chanda na pete!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…