Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Location ndo mpango mzima..
Wadada wakufanya hio kazi wawe wazuri na wakarimu...hapo utapiga mpunga balaaaa
okay lakini kama location ikiwa mbali kidogo na sehemu zilizo zoeleka lakini wadada ni wauzri na classic inakuwaje?Lets say location ni kawe,lakini wadada ni wazuri na classic? Pia unajua namna wnavyo lipwa?
Poa poa kaka,let me do it . Soon itakuwa sokoni...
Wewe ndo unatakiwa kujua utawalipa vipi ili faidi yako ipatikane. Hakikisha huduma na bei zako ziko competitive ili mteja akija leo, arudi kesho yake..
Kwambele weka classic barbershop ili upunguze gharama za matangazo..
kawe beach kaka
Asante sana kaka kwa ushauri,nataka niweke na huduma ya "mobile massage " pia, yaani mteja anafuatwa mahali alipo ( though kutakuwa na restriction ya maeneo ).Unaonaje hapo,is ot safe kwa mteja kufuatwa mahali alipo eidha nyumbani au hotelini e.tc?
Mobile massage ni nzuri kama utasimamia vizuri, ila disadvantages zake ni kubwa zaidi.. Kwanza, ni one way ticket ya kwenda kufanya ngono, na tatizo likitokea, kama ubakaji, you may be liable.
Ukikorofishana na mwanasiasa, au mwandishi wa habari, biashara yako wataiua, kwa kukupakazia na kukutangazia mambo mengi mabaya, kama kuuza malaya, kuhamasisha ngono na mwishowe kuishia jela
..
Mkuu Likud, Ukiwa seious,acha bhaana ..maana Generation ya sasa ipo tayari katika mambo haya haswa Health care, Vipodozi.... coffee shops !! utafanikisha tu..GO AHEAD with your plan .!!asante sana kaka