Mangandula
Senior Member
- Nov 30, 2011
- 184
- 37
Kweli mashudu ni biashara nzuri.Je umejipanga vizuri kupambana na ushindani wa viwanda vya jinsi hiyo hapo MaKambako? Mwakajuzi kulikuwa na viwanda nane vya kukamua alizeti, unaonaje ukisogea pale Wanging`ombe au Ilembula kabisa kwa wakulima waliko,Ilembula umeme upo na barabara ni ya lami. ni wazo tu mkuu wangu.Haya wanajamvi nipo mbioni kufunga mashine ya kukamua mafuta ya alizeti maeneo ya Makambako ktk mkoa mpya wa njombe, Kwa wale wanaohitaji mafuta ya alizeti na wafugaji wanaohitaji mashudu ya alizeti wanitafute tufanye biashara.
Haya wanajamvi nipo mbioni kufunga mashine ya kukamua mafuta ya alizeti maeneo ya Makambako ktk mkoa mpya wa njombe, Kwa wale wanaohitaji mafuta ya alizeti na wafugaji wanaohitaji mashudu ya alizeti wanitafute tufanye biashara.