Biashara ya matofari ya kuchoma

Biashara ya matofari ya kuchoma

Kimbunga2

Senior Member
Joined
Mar 23, 2014
Posts
144
Reaction score
30
Biashara yamatofali yakuchoma, nautengenezaji wamasadufu ya nyanya,unavyo athiri afya zawatu,je serikali na watu wamazingira wanafaham?ama mh.Reginard mengi hasimamii tena mazingira?

Biashara hii nimbaya sana maana haya matofari yana chomewa katikati mwamakazi ya watu,kwakutumia pumba zampunga,nimetembelea,kilimanjaro wilaya ya hai namoshi manispaa uchomaji huu unafanyika wazi wazi kwenye makazi yawatu,ama ukiuliza wamama wanakwambia matatizo nimakubwa wanayo yapata,yakiwemo afya zawatoto kukikohozi kisichopona nawenyewe kuishi kwa matatizo yavifua kuuma!

Je, swali lakujiuliza serikali haioni haya? maana inatumie gharama kubwa ktka tiba yavifua vikuu,namalizia hii nisehem cjui kwa sehemu nyingine,hali ikoje?
 
uko sahihi mkuu! Pia wanaharibu sura ya nchi kutokana na udongo wanaochiba kuacha mahandaki!
 
suala ni kutenga maeneo maalum kwa ajili ya kazi hizo.
 
kwani utafiti unasema uchomaji wa matofali unasababisha magonjwa ya kifua?
 
Athari zipo lakini sizani kama serikali inaweza kulipia kelele hilo. Hii ni miladi rasmi kwa watu wasio na kazi rasmi, hivyo ukitaka kuzuia jiandae uwapa kazi mbadala ya kufanya na ushushe gharama ya cement kukidhi mahtaji.
 
Athari zipo lakini sizani kama serikali inaweza kulipia kelele hilo. Hii ni miladi rasmi kwa watu wasio na kazi rasmi, hivyo ukitaka kuzuia jiandae uwapa kazi mbadala ya kufanya na ushushe gharama ya cement kukidhi mahtaji.

kweli kabisa mkuu
vijana wengi huko mikoan hasa kando ya mji
hii ndio ajira yao kuu!
 
wakuu, mi natafuta mashine ya kuzalishia matofali madogo ambayo yatakuwa tayari kwa ujenzi bila kupitia kwenye moto..

mwenye taarifa wapi naweza pata na kwa bei gani, tafadhali anijulishe... niko jijini dsm!
 
Back
Top Bottom