Biashara yamatofali yakuchoma, nautengenezaji wamasadufu ya nyanya,unavyo athiri afya zawatu,je serikali na watu wamazingira wanafaham?ama mh.Reginard mengi hasimamii tena mazingira?
Biashara hii nimbaya sana maana haya matofari yana chomewa katikati mwamakazi ya watu,kwakutumia pumba zampunga,nimetembelea,kilimanjaro wilaya ya hai namoshi manispaa uchomaji huu unafanyika wazi wazi kwenye makazi yawatu,ama ukiuliza wamama wanakwambia matatizo nimakubwa wanayo yapata,yakiwemo afya zawatoto kukikohozi kisichopona nawenyewe kuishi kwa matatizo yavifua kuuma!
Je, swali lakujiuliza serikali haioni haya? maana inatumie gharama kubwa ktka tiba yavifua vikuu,namalizia hii nisehem cjui kwa sehemu nyingine,hali ikoje?