Melki Wamatukio
JF-Expert Member
- May 3, 2022
- 6,156
- 10,974
Kiufupi kala loss ya ajabu kuwahi kuwepo duniani
Kadamkia matunda ya Tsh. 30k Mabibo, kayakata kata yote ili atengeneze dry fruti. Kafungasha take away 50, lakini hakupata wateja kabisa. Matunda yangeharibika. Kanipigia simu huku analia na kuniambia tayari keshawagawia majirani
Other Cost apart from hiyo 30k ambayo mtakuja kunisemelea kuwa nayo ni hela? Deli la kubebea mzigo, gharama ya vifungashio, beseni na ndoo maalumu za kufanyia maandalizi n.k ~ 60k or more
Huenda hakuyajua haya:
(i) Market. Mahala pa kuyauzia. Aelekee chimbo lipi ambalo walaji wa mchanganyiko huo wa matunda (dry fruity) ni wengi? Je, watu wenye nyazifa ipi ama biashara zipi hupendelea kutumia mchanhanyiko huu. Je, ni madereva wa daladala? Abiria kwenye mastendi? Wakazi wa Kariakoo? Wahindi madukani? e.t.c
(ii) Uandaaji. Labda kuna namna ambavyo inatakiwa kuwa ili kuwavutia wateja. Vipande viwe vikubwa sana? Iwe na ubaridi?
(iii) Mauzo. Bei ya mauzo iwe vipi ili kumsatisfy kila mtanzania? Iwe 1,000 kwa kila kontena? Vipi kuhusu kontena baada ya ulaji hasa hasa maeneo changanyikeni? Vipi kama akipima kidogo mchanganyiko wa 500, utamlipa?
(iv) Muda. Matunda huliwa sana muda gani? Je ni asubuhi? Ni mchana? Ni jioni? Kuanzia saa ngapi hadi saa ngapi?
Na mengine mengi. Ushauri wako ni muhimu sana, hautomsaidia tu mpenzi wangu, bali members wengine na kizazi cha kesho kwa ujumla. Ahsanteni...