Biashara ya matunda imemtandika mpenzi wangu vikali

sasa badala ya kukaa umshauri mpenzi wako nini cha kufanya unakuja kuleta ujuaji hapa, yaani wabongo ni watu wa hovyo sana.
 
Ushauri mzuri aachane na wewe masking unaeshindwa kumpa mtaji wa duka unampa mtaji wa matundaaa azunguuuuushe weeee mpk miguu iote vigimbi,mwambie atafite mwanaume mwenye pesa
 
Ushauri mzuri aachane na wewe masking unaeshindwa kumpa mtaji wa duka unampa mtaji wa matundaaa azunguuuuushe weeee mpk miguu iote vigimbi,mwambie atafite mwanaume mwenye pesa
Sawa kabisa, atafute bwana mwenye hela. Pumbavu zake
 
Huyo angepita kwanza kuchukua oda kabla hajauza hasa maeneo ya stendi au soko
 
Kabla ya kugawia majiran. Angetengeneza Juice kwa kutumia hayo hayo matunda. Na kuweka kwenye Chupa za juice kama Afya. Ma kwenda tena kuuza kesho yake
 
The higher the risk the higher the return and vice versa.

Niliwahi peleka fuso porini kukusanya viazi yule dereva na utingo wake na mwanamke wangu pamoja na mfanyakazi wangu aliyepokea mzigo walikosa akili kabisa.

mvua iliteremka tokea wanapakia mpaka wanakuja dom hawakufunika turubai kabisa. Ile kufika wakaweka stoo hivyo hivyo na mwanamke akarelax pamoja na kibarua wanabaki kuchezea tuu simu na kuchekacheka tiktok

Nakuja kufika dom nakuta gunia zilizo letwa gunia 45 zote zilikua hakuna viazi vyote ni urojo na vinaambukizana kwa kasi yani vimeiva na vingine vinaota .mwanamke karelax na mwambia kulikoni hivi anabaki anashtuka shtuka tuu nikasema nizuie hasira hasara roho pesa makaratasi ase tulichimba kaburi la pamoja la kuzika viazi.

Nilipata hasara sana ila sikukoma na mwishowe ile hasara niliisahau kabisa
 
Lakini kwanini unetuletea jukwaa la mapenzi tuanzie hapo ?

Wewe na mpenzi wako shida kweli 30K ni mtaji wa biashara kweli.
 
Mod Cookie ,peleka uzi huu jukwaa la biashara, humu MMU watu wanajibu kimahaba mahaba sana

Hakuna nilichoambulia...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…