Mtaji inaweza kuwa kiasi ganiKwa Tabora sina uzoefu napo ila biashara ya matunda inalipa vizuri tuu kama utakuwa msafi na muaminifu
Inategemea na umeamua kuifanya kwa mtindo upi...kuyamenya na kutengeneza fruits salad au kuweka meza au kitoroli utembeze mazima mazima hapo ni tofauti kabisa mtaji wake wa fruits salad ni mdogo zaidiMtaji inaweza kuwa kiasi gani
Mimi nipo tabora tuwasiliane kwa 0763930688 tuyajengeKama kichwa kinavyo sema hapo juu Mim ni muhanga wa ajira za serikali.
Nataka hamishia makazi yangu Tabora na kujihusisha na biashara ya matunda mchanganyiko hapo tabora
Kwa wakazi wa Tabora naomben mnipe experience yenu na mji wa Tabora vip nitafanikiwa!??
Koz sio mwenyeji ki hvyo kama kuna mtu yuko read tunaweza partber kwa hiyo idea ya biashara...
Karbun kwa ushaur, ukosoaji na mengineyo.
Mzee nili change plan nao niko.. Kilosa.. nalima Bustn kwanza..Mimi nipo tabora tuwasiliane kwa 0763930688 tuyajenge