pelius laurent
JF-Expert Member
- Oct 7, 2019
- 331
- 601
(Sabasaba, Pasiansi, Kona ya bwiru, Ghana, Kirumba, Nyasaka ,Buzuruga, Mecco, National)
, ni sehemu gani naweza kufanyia hii biashara kwa maeneo ya mwanza?
Hiyo mixing si ndiyo wataalam wa afya wamesema inadhuru mwili!Siku hizi wanakatakata matunda mchanganyiko wanaweka katika vi contena alafu wanasambaza mitaani, maofisini, migahawani, ma garage, stend za magari nk.
NB: TAFUTA WADADA WAZURI WAREMBO WAWE WASAMBAZAJI 😄
Mmmh kweli?🤔Hiyo mixing si ndiyo wataalam wa afya wamesema inadhuru mwili!
Nilisoma humuhumu hiyo tahadhari imetolewa na wataalamu wa afya juu ya uchanganyaji wa matunda yanayoliwa kwa pamoja husababisha athari kadhaa mwilini.Mmmh kweli?🤔
Naomba link ya hilo bandiko mkuuNilisoma humuhumu hiyo tahadhari imetolewa na wataalamu wa afya juu ya uchanganyaji wa matunda yanayoliwa kwa pamoja husababisha athari kadhaa mwilini
Mwenzio ana laki anajitafuta unaanza kumpa story za wadada wazuri,atawalipa Nini?yeye Binafsi anaweza kuuza vizuri tu,hayo mambo ya usafi afanye mwenyewe ataona mtaji wake utavyokuwaSiku hizi wanakatakata matunda mchanganyiko wanaweka katika vi contena alafu wanasambaza mitaani, maofisini, migahawani, ma garage, stend za magari nk.
NB: TAFUTA WADADA WAZURI WAREMBO WAWE WASAMBAZAJI 😄
wateja wanaume wengi ni dhahifu kwa wadada miaka 20 - 25!! Hawawezi leta ubahili.
Pia muonekano wa urembo/usafi mteja hushawishika chapu 😆
Achana na wataalamu. Hao wanasema fegi zina madhara Afu wao wanavuta.Hiyo mixing si ndiyo wataalam wa afya wamesema inadhuru mwili!
Asambaze wake au sioSiku hizi wanakatakata matunda mchanganyiko wanaweka katika vi contena alafu wanasambaza mitaani, maofisini, migahawani, ma garage, stend za magari nk.
NB: TAFUTA WADADA WAZURI WAREMBO WAWE WASAMBAZAJI 😄
wateja wanaume wengi ni dhahifu kwa wadada miaka 20 - 25!! Hawawezi leta ubahili.
Pia muonekano wa urembo/usafi mteja hushawishika chapu 😆
Naomba link ya hilo bandiko mkuu
Achana na wataalamu
Hao wanasema fegi zina madhara Afu wao wanavuta
Wale watoto wa mjini ww! Matunda ni zuga tu kinachouzwa ni kingine😁Siku hizi wanakatakata matunda mchanganyiko wanaweka katika vi contena alafu wanasambaza mitaani, maofisini, migahawani, ma garage, stend za magari nk.
NB: TAFUTA WADADA WAZURI WAREMBO WAWE WASAMBAZAJI 😄
wateja wanaume wengi ni dhahifu kwa wadada miaka 20 - 25!! Hawawezi leta ubahili.
Pia muonekano wa urembo/usafi mteja hushawishika chapu 😆
Wakati kikiuzwa hicho kingine basi kingine nacho chauzika hapo hapo😆😆😆Wale watoto wa mjini ww! Matunda ni zuga tu kinachouzwa ni kingine😁
Bado sijapata eneo kiongoziUlifanikiwa mkuu kuanza biashara ya matunda?
Tega maeneo ambayo kuna movements sana za wafanyakazi wa maofisini...
Igoma na Buhongwa ingefaa zaidi ila kwa ulipotaja, nzuri zaidi ni kirumba au national.Wana JF pole na kazi,
Mimi naitwa Pelius nipo mwanza, ni kijana niliemaliza chuo na kukutana na changamoto ya ajira, moja kwa moja niende kwenye swali langu.
Je, nikiwa na mtaji wa 100,000Tsh au 50,000Tsh nikaanzisha biashara ya matunda, ni sehemu gani naweza kufanyia hii biashara kwa maeneo ya mwanza? Hasa maeneo ya (Sabasaba, Pasiansi, Kona ya bwiru, Ghana, Kirumba, Nyasaka ,Buzuruga, Mecco, National).
Naomba muongozo wakuu.