Biashara ya matunda

Biashara ya matunda

Siku hizi wanakatakata matunda mchanganyiko wanaweka katika vi contena alafu wanasambaza mitaani, maofisini, migahawani, ma garage, stend za magari nk.

NB: TAFUTA WADADA WAZURI WAREMBO WAWE WASAMBAZAJI [emoji1]

wateja wanaume wengi ni dhahifu kwa wadada miaka 20 - 25!! Hawawezi leta ubahili.

Pia muonekano wa urembo/usafi mteja hushawishika chapu [emoji38]
Sahihi kabisa
 
Back
Top Bottom