kichakaa man
JF-Expert Member
- Oct 20, 2011
- 5,500
- 5,164
Sahihi kabisaSiku hizi wanakatakata matunda mchanganyiko wanaweka katika vi contena alafu wanasambaza mitaani, maofisini, migahawani, ma garage, stend za magari nk.
NB: TAFUTA WADADA WAZURI WAREMBO WAWE WASAMBAZAJI [emoji1]
wateja wanaume wengi ni dhahifu kwa wadada miaka 20 - 25!! Hawawezi leta ubahili.
Pia muonekano wa urembo/usafi mteja hushawishika chapu [emoji38]