Wanajamvi poleni na majukumu ya kiTaifa, nataka kufanya ujasiriamali wa biashara ya maturubai kwa ajili ya matukio ya kijamii kama vile msiba, hitma, 40, bridal shower na harusi.. Naomba msaada wa gharama ya maturubai ya kuweza kuchukua watu 30-50 kwa hapa Dar na ikiwezekana sehemu ambapo yanapatikana. Nitashukuru sana wakuu nikiweza kupata hata contacts za watengenezaji/wauzaji.