Biashara ya maua

Biashara ya maua

doama

JF-Expert Member
Joined
Nov 29, 2013
Posts
808
Reaction score
650
Ndugu wana JF wenzangu natumaini hamjambo.

Dhumuni la waraka huu ni kuomba wenye uelewa wa biashara ya export ya maua (dried)

Natamani sana kufanya hii biashara sasa naomba kama kuna mwenye connection jinsi ya kupata mzigo kwa bei nzuri, changamoto za biashara n.k

Nasikia maua mengi yanatoka mikoani, DR -Congo, Zambia ...

Mshana Jr kama kuna dawa pia si vibaya ukanipa nisikwame kwa biashara unajua huwezi kuanza biashara bila kwenda kwa mzee
 
Dawa ya mafanikio ya biashara ni
1. Wazo/ndoto inayoishi ndani yako
2. Nidhamu
3. Hofu ya Mungu
4. Kujituma
5. Kufanya/kuchagua biashara sahihi kwenye eneo sahihi
Nknk
Hayo madawa mengine ya kichawi na kishirikina yatakuingiza chaka doama
 
Ndugu wana JF wenzangu natumaini hamjambo.

Dhumuni la waraka huu ni kuomba wenye uelewa wa biashara ya export ya maua (dried)

Natamani sana kufanya hii biashara sasa naomba kama kuna mwenye connection jinsi ya kupata mzigo kwa bei nzuri, changamoto za biashara n.k

Nasikia maua mengi yanatoka mikoani, DR -Congo, Zambia ...

Mshana Jr kama kuna dawa pia si vibaya ukanipa nisikwame kwa biashara unajua huwezi kuanza biashara bila kwenda kwa mzee
Du. Halafu biashara ikifa unalalamika. Hujaanza biashara umeshaanza kuwaza kuloga ili ufanikiwe, utakumbuka kufuata miiko ya biashara? Hakuna ''dawa'' kwenye biashara hata siku moja.
 
Zipo dawa za kulinda utajiri Lakini nazo ni kimeo
 
Kama za kulinda utajiri zipo basi hata za kupata zitakuwepo Mshana Jr, msisubiri tu mpaka tuwe matajiri bana.
 
Back
Top Bottom